GE2025 Felista Njau apanda mtumbwi ili kumnadi Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Sema CCM wana siasa za kishamba sana.

Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi.

Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi?

Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest
=================

Mbunge wa Viti Maalum CCM, Felista Njau, ameibukia kwa wavuvi na wachuuzi wa samaki katika Bwawa la Nyumba ya Mungu, kijiji cha Mikocheni A, kumnadi mgombea urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mbunge huyo pia ameomba kura kwa mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Moris Makoi, na Leonard Waziri, anayewania udiwani Kata ya Arusha Chini

Anapopanda mtumbwi kwa nini wasiweke daraja au Boti ya kisasa Magufuli alishatufungua akili hii nchi ina pesa
 
Sema CCM wana siasa za kishamba sana.

Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi.

Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi?

Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest
=================

Mbunge wa Viti Maalum CCM, Felista Njau, ameibukia kwa wavuvi na wachuuzi wa samaki katika Bwawa la Nyumba ya Mungu, kijiji cha Mikocheni A, kumnadi mgombea urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mbunge huyo pia ameomba kura kwa mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Moris Makoi, na Leonard Waziri, anayewania udiwani Kata ya Arusha Chini

Kuna wimbo unasema ....zigo la mavii alibebeki ....huyo anajisumbua bure ..
 
Attachments

  • Screenshot_20250920-221003_YouTube Lite.jpg
    Screenshot_20250920-221003_YouTube Lite.jpg
    119.2 KB · Views: 15
Back
Top Bottom