Ujinga mtupu huo, Barongo hawezi shika mdada aliyefaulu na mwenye bidii....shida ni dada zetu wanapenda digrii za kwenye chupi!! Watoto hawajitumi kwenye masomo wakifeli oooohhh mwalimu anannitaka wizi mtupu huu.....we call it academic wanking!
...It sound like Majungu...Thibitisha!!! Kwani hao wanafunzi wa kike wana umri gani below 18yrs?? Mwl. anawezaje kutoa test huku akijua wanafunzi watafeli? Hao wanaofeli test iliwashinda tu hawasomi...kama wanatoa uroda ni kwamba wamekubaliana..ofcourse technics za kuimbisha mademu ziko nyingi na hutofautiana mtu na mtu!!!!
Barongo=Mhaya=Katerelo! teh teh teh
Inasikitisha sana watu wanavyosema hawa walimu wako right kulala au kuwatongoza wanafunzi wao. It doesnt matter how old is a student, sleeping with your own student is out of professionalism as a teacher and it is immorally as a member of society!
Walimu hawa hawa wanatumia ata psychology kuwatumia wanafunzi kimapenzi.
Swali la kijiuliza watanzania, tutaendelea kuwalalamikia wanafunzi ambao most of them are still under 25, first time away from home and first time in higher education? Au tutawalalamikia walimu ambao wazazi wanawapa their trust to look after their kids? Na wanalipwa na tax zetu?
Mwalimu anaetajwa humu nadhani anafundisha wanafunzi wa masters pale campus ya dar. Wanafunzi wengi hapo wanatoka makazini, ni watu wazima na wengine tayari wameolewa/wameoa. Hivyo nadhani si suala la umri!
Sawa hao ni wale mbao wako above 25, je huyo mwalimu hafundishi undergraduate at all? pia kuna walimu wengi tuu wenye tabia kama ya huyu jamaa barongo..
Kapuchi,
Ebu lione hili. Darasa hilo lina wanawake tu hakuna wanaume? Je, kama wanaume wapo wanashindwa test ni wanawake? vipi wanaume wanaoshindwa test je, nao wanafukuzwa shule? Ninavyoona, hapa kuna mchanganyiko wa mambo mengi. Kwanza, kama test ni ya darasa zima (wanaume na wanawake) iweje, washindwe wanawake tu? nini kinawatokea wanaume walioshindwa au wao hawashindwi hiyo test? Kama wanaume wanashinda hiyo test basi Dr. Barongo yupo sahihi kuwawajibisha walioshindwa test yake na mambo ya kuombana uroda yasitumike kama 'defense mechanism? Nawashauri wale wanaoshindwa test ya jamaa wakati wengine wanaifaulu kwanza waongeze bidii wasome na waishinde. Dr. Barongo atawakosa hawezi kuwakamata, sasa kama hausomi na unasubiri ukibabwa useme umeombwa uroda basi hayo ni majungu.
Niungane na Caroline Danzi, kwamba mida ya kulialia na kulalamam imepitwa na wakati. Simu zetu siu hizi zinarekodi sauti, mtegee simu atongoze then utakuwa na ushahidi. Au kubaliane naye nendeni guest house anayoipenda huku ukiwa umewasuka wakokota mikokoteni ili wawakute mle quest house ili badala ya kushughulikiwa wewe wamshughulikie huyo Dr. Barongo, atakoma hatarudia, Acha kulialia amka ujipiganie.
Tulione hilo kutongozwa kwa hila kupo lakini visingizio vipungue pale wanawake wanaposhindwa test kwa uzembe then wanatuambia si unajua nilimnyima......
Huyo kweli Fisadi!
Kwa kweli kama nikweli huyo jamaa anafanya mambo hayo haina haja ya kuendelea kumlea kwani inawezekana ni Muathirika wa Ngoma na hivyo kaamua kuisambaza ki-dizain hiyo. Tena kwa mtaji huo inawezekana wapo kina Barongo wengi tu kwenye hizi University zetu kwani nimewahi kupata kusikia kuwa kuna Degree za Ngono ila sikuwa makini sana kwenye kuanza kulidadisi hili.
Wasomi wetu wa siku hizi wanatakiwa kujifunza kwa kutatua matatizo yanayo wazunguka na yanayoizunguka jamii! swala kama hili sila kukalia kimya kabsaa!!! huyu anatakiwa kufunzwa adabu ajue kuwa si wote wanahitaji Shahada za Ngono japo ki ukweli japo sijafanya utafiti inawezekana wapo wengi wamesha gawa ngono kwa malecture wao wa dizaini ya Barongo.
Huyo jamaa awekewe mtego adakwe hana adabu na wala hajiheshimu kwani inawezekana ameoa lakini bado anamendea wanafunzi wake. Huyo antakuwa amejifunza mahali kwa watu wa dizaini yake.
Barongo fundisha baba acha mambo ya ajabu!!
Kapuchi! Toa ushahidi, hoja yako ipate nguvu! vinginevyo yatabaki kuwa majungu tuhii habari haina majungu nihabari ya kweli kabisa ndiko ka mchezo kake,wanaomtetea wamtetee lakini arobaini yake afahamu inakuja.
ni nani alifahamu siku moja mafisadi wataumbuliwa hadharani?
Dr afahamu yakuwa suala la mapenzi baina ya watu wa jinsia mbili ni hiari na wala sio lazima kama anavyotaka ieleweke.
na nyie mnaotaka ushaidi hebu kama mnaweza tafuteni wanafunzi waliopo katika hiyo field hapo mzumbe na hasa madada na ma Mrs watawapa data kamili.
Tunakilaani kitendohiki kwa nguvu zote kwa sababu ni nani ajuae mabinti au ndugu zake watapitia mikononi mwake?