Huyo kurudi ngumu sababu tayari ametengeneza uhasama na viongozi Cha msingi hapa namna ya kuvunja mkataba shida hataki kwenda sehemu husika Ili wazungumze auvunje wanataka kuvunja kwa social media sijuiYanga SC wammeandika tu lakkini wanafahamu tosha kuwa hawezi kurudi kuomba maboresho ya mkataba na Yanga.
Jifunze kusima maandashi katikati ya mstari.
Unadhani walimsajili Mudathir kwanini kama walitarajia Fei atarudi?
Humjui jasmine ww kakojoe ukalale kaangalie kwanza alivyoshinda kesi ya msuva alitumia kipengele cha lugha tu na msuva akawa huru na akalipwa mabilion ya hela.Ukitumia akili kidogo utagundua kuwa Feisal na Wanasheria wake wote wamepigwa Knockouts za kutosha.
Ona sasa wamekuja wakipiga magoti kuomba wavunjiwe mkataba.
Mwanasheria wa kwanza kamkimbia.
Mwanasheria wa pili kamkimbia.
Huyi wa tatu atamkimbia nayeye...
Kwani feisal alitaka kuvunja mkataba alifanya tu maamuzi kutoka kichwani si alishirikisha watu na wanasheria nitajie kesi moja yanga waliyowahi kushinda hata ya kuku na mwanasheria wao kilaza Patrick yule ni empty kichwaniMkuu unaelewa maswala ya mikataba? Hatukatai anaweza kulipa ila Unataka kuhama nyumba unayoishi si uongee na mwenye nyumba Sasa unaenda kushtaki kwa mwenyekiti inakaaje hiyo , kuweni waungwana asaidike afanikiwe acheni chuki na club
Hata kama anaweza kulipa Kuna taratibu za kulipa mkuu
Wivu hao hawajui mpira hauna kiinua mgongo, au pensheni.Million nne mchezaji mpira ni hela ndogo sana ila watu wautumishi watakuja kusema ni hela nyingi sana washazoea mishahara yao ya tgs C na D wakati mpira ni kazi ya mpito.
Kalipa mkataba wa mwaka na karudisha hela za usajili au kipindi yanafanyika ulikuwa hauna bando hyo habari ilikupita.Wanaojua thamani ya mkataba wa mchezaji ni yanga wenyewe, izo blah blah unazoandika hapo mnazijua wenyewe madunduka, Thamani ya mkataba wake ataijua siku akienda kutajiwa dau la kuvunja mkataba full stop
Yes ila mwisho wa siku yanga ndio wenye maamuzi ni yanga kupanga dau
Kama ingekuwa rahisi hivyo mbona angekuwa keshaondoka.Acha uongo anatakiwa alipe mshahara wake mpaka mkataba unaisha hela yenyewe million nne hyo pesa ndogo kwa AZAM safari hii mmeyakanyaga.
Kwani feisal alitaka kuvunja mkataba alifanya tu maamuzi kutoka kichwani si alishirikisha watu na wanasheria nitajie kesi moja yanga waliyowahi kushinda hata ya kuku na mwanasheria wao kilaza Patrick yule ni empty kichwani
Mkuu wewe kinachokusumbua ni chuki dhidi ya yanga hauzunhumzii sheriaKwani feisal alitaka kuvunja mkataba alifanya tu maamuzi kutoka kichwani si alishirikisha watu na wanasheria nitajie kesi moja yanga waliyowahi kushinda hata ya kuku na mwanasheria wao kilaza Patrick yule ni empty kichwani
Lete kesi moja yanga waliyoshinda yoyote nakusubiria unadhani aliyesema wenye akili ni wawili alikosea aliongea vile kwa kujua kabisa utopolo walivyo.Mkuu wewe kinachokusumbua ni chuki dhidi ya yanga hauzunhumzii sheria
Kwani kesi zilikuwa ngapi mkuu hii ya feisal ndo fei kashashinda? Nafikiri unayoijua ni ya Morrison tu ndiyo yanga walishindwa uko biased kiasi unatukana walioko pale ondoa chuki tulikuwa tunazungumzia contract mkuuLete kesi moja yanga waliyoshinda yoyote nakusubiria unadhani aliyesema wenye akili ni wawili alikosea aliongea vile kwa kujua kabisa utopolo walivyo.
Shabikieni tu,Hawa wachezaji Wana tabia ya kuigana.Mzee kwani si wamuache tu basi aende .
Unamfukuza mtu bila kumpa hali yake ya kusikilizwa!??Pamoja na utoro(miezi 3) Yanga inamuita na ipo tayari kuboresha maslahi yake iwapo ataridhia. Tafuta barua ya leo imeweka wazi anachokitaka Yanga kwa Fei. Hiyo sentensi ya mwisho ni kama inapingana na barua.
Kutokuwepo kambini miezi 3 ni sababu tosha ya kumfukuza mchezaji, ila kwa Fei hali imekuwa tofauti sababu anahitajika.
We naona tunachoshana hapa, kama kalipa mkataba wa mwaka nakurudisha ela za usajili iyo barua ya kuomba kuvunja mkataba ni ya nini tena? Kama alilipa si yuko huru aende sasa anakokutaka bado anahangaika na nini?Kalipa mkataba wa mwaka na karudisha hela za usajili au kipindi yanafanyika ulikuwa hauna bando hyo habari ilikupita.
Vijana wa Rage akili zao ni nusu kijiko, utaangaika na uyo kilaza mpaka keshokutwa ebu achana naeKama ingekuwa rahisi hivyo mbona angekuwa keshaondoka.
(Miezi iliyobaki)Miezi 17 x mil 4 = Milioni 68.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kuna mtego gani sasa kwa akili zako finyu, kuomba kuvunja mkataba kuna kukubaliwa ama kukataliwa kutokana na sababu kadha wa kadha, yanga watataka awape sababu zenye msingi wa kisheria kufuatana na muongozo wa fifa ktk uvunjaji wa mikataba na sio blah blah, akishindwa kutoa sababu hizo atoweza kukubaliwa kuvunja huo mkataba, Sa abu zinazopelekea mkataba kuvunjika zinajulikana na feisal hana ata sababu moja kati ya hizo kwaiyo yanga ndiye aliyeshika mpini na feisal kashika makali sio kirahisi hivyo mnavyofikilia, Na kwakuwa feisal kaleta kiburi na dharau kwa klabu ndiye aliyefanya jambo hili liwe gumu zaidi, wanataka wamuonyeshe kwamba kiburi sio uungwana, kwanza anaomba kuvunja mkataba na ayupo kambini miezi karibia 4, iyo pia ya utoro kazini iko pembeni imesubilishwa tu muda muafaka ukifika atakumbana nayoUtaangaliwa pia sio kujipangia tu.
Uzuri kwenye mkataba kuna vipengele hivyo, issue si ilikuwa Fei amejiamulia. Sasa maombi yameletwa rasmi.
Tunawasubiria mpuyangr na Tff, wameshawekewa mtego.
Yanga waweke 1bln kuvunja mkataba, ndo akili za uto hizo.
kama amesha lipa sasa anaenda kufanya nini TFF si angeenda Azama FC akajiunge na wenzake ili anendelee na LIGI?Kalipa mkataba wa mwaka na karudisha hela za usajili au kipindi yanafanyika ulikuwa hauna bando hyo habari ilikupita.
Yanga SC wameshinda kesi ya shauri la kwanza lililo pelekwa na Upande wa mchezaji pale TFF.Lete kesi moja yanga waliyoshinda yoyote nakusubiria unadhani aliyesema wenye akili ni wawili alikosea aliongea vile kwa kujua kabisa utopolo walivyo.
Bilioni 1 umeemda mbali sana.Utaangaliwa pia sio kujipangia tu.
Uzuri kwenye mkataba kuna vipengele hivyo, issue si ilikuwa Fei amejiamulia. Sasa maombi yameletwa rasmi.
Tunawasubiria mpuyangr na Tff, wameshawekewa mtego.
Yanga waweke 1bln kuvunja mkataba, ndo akili za uto hizo.
Kama ilikuwa ni njia halali ya kuvunja mkataba mbona TFF wamempinga na kuamua kuwa hawezi vunja mkataba kwa njia ile?Kalipa mkataba wa mwaka na karudisha hela za usajili au kipindi yanafanyika ulikuwa hauna bando hyo habari ilikupita.