Hapo utakuta ni US $250 per head in posho! Hizo pesa bora zibaki hukohuko hata zitupwe kuliko kuwapa Serikali ya Kifisadi ili iende kwenye akaunti zao! Upuuzi mtupu mlikua wapi wakati wa kesi mbona hamkua na interest!!! Anyway muinjoi posho hiyo ndo iliyowapeleka huko, shopping kwa kwenda mbele rudini na masanduku matano kila mmoja:A S 114::A S cry:Binafsi naona hako ni kasafari tu kupata posho
Na posho watakazolipana utakuta ni zaidi ya hiyo hela wanayofuatilia.
Wewe unachekesha kweli, wizi kabla haujafanyika tuliambiwa kuna wizi tukakataa tukaendelea na manunuzi, kisha tukaambiwa jinsi wizi ulivyo fanyika na kuhusisha viongozi tukasema sio kweliKwakuwa wenzetu hawana longolongo wakalifanyia kazi upande wao lakini sisi bado tukasema hakika hakuna wizi, sasa wamemaliza kazi na hukumu inataka aliyeibiwa alipwe fidia hapo ndipo sasa masikio yanapo tusimama, ajabu na aibu tena tunasema ni haki yetu na ujumbe unatumwa kufuatilia hiyo 'haki' yetu!.Haya ni marudio ya hoja ambayo imejadiliwa sana. Ukweli unabaki pale pale kwamba kama wewe umeibiwa lakini kwa sababu yoyote ile ukashindwa kumfuatilia mwizi wako, au ukashindwa kujua kwamba umeibiwa, akitokea whistle blower akakuambia na hata akafanikisha kurudishiwa mali yako, msamaria mwema huyo hajinyakulii haki ya umiliki wa mali hiyo.
Anaweza tu akaomba kushukuriwa lakini siyo kukupangia matumizi ya recoveries zako. Uingereza walifuatilia issue hii kwa sababu kampuni ya BAE ambayo ilihusika na wizi huu na yenyewe ilikuwa ina-face credibility problems kama serikali isingeingilia kati. Haikuwa favour kwa Tanzania japo Tanzania ilikuwa ni beneficiary ya ufuatiliaji huo.
Hakuna justification yoyote ya fedha hizi kutorejeshwa kwa aliyeibiwa na msimamo wa Membe na serikali ndiyo utashi sahihi na wanaoshangaa wanaendekeza ukoloni ambao hauna nafasi katika hili. Membe endelea kudai mpaka kieleweke!
why are you defending the criminals ??haya ni marudio ya hoja ambayo imejadiliwa sana. Ukweli unabaki pale pale kwamba kama wewe umeibiwa lakini kwa sababu yoyote ile ukashindwa kumfuatilia mwizi wako, au ukashindwa kujua kwamba umeibiwa, akitokea whistle blower akakuambia na hata akafanikisha kurudishiwa mali yako, msamaria mwema huyo hajinyakulii haki ya umiliki wa mali hiyo.
Anaweza tu akaomba kushukuriwa lakini siyo kukupangia matumizi ya recoveries zako. Uingereza walifuatilia issue hii kwa sababu kampuni ya bae ambayo ilihusika na wizi huu na yenyewe ilikuwa ina-face credibility problems kama serikali isingeingilia kati. Haikuwa favour kwa tanzania japo tanzania ilikuwa ni beneficiary ya ufuatiliaji huo.
hakuna justification yoyote ya fedha hizi kutorejeshwa kwa aliyeibiwa na msimamo wa membe na serikali ndiyo utashi sahihi na wanaoshangaa wanaendekeza ukoloni ambao hauna nafasi katika hili. Membe endelea kudai mpaka kieleweke!
Watapaswa kulala 5 starsss.......eeeeee
yaya gweeeeeee;(
Hii yote ya nini? Diplomat ya tanzania iliyoko Uk haiwezi fanya kazi hiyo hadi mzee mapesa na ndugai waende?
Ni 'Ufuatiliaji' wa pesa za serikaliHuu ni ufujaji wa pesa za Serikali.