Gerald David
Member
- Nov 2, 2010
- 10
- 0
Katika hali inayoshangaza wabunge kadhaa wakiongoza na naibu spika mh. job ndugai wamekwenda london kufuatilia malipo ya pesa zilizotumika kununulia rada feki!
hivi wanajf tujiulize mbona downs walivyofungua kesi wakidai fidia sikuona jitihada kama hizi kuokoa taifa! mh. membe bila aibu ya kujua kuwa walioingia mkataba huo uliothibitika kuwa ulijaa rushwa hawajachukuliwa hatua na wanapeta! hivi serikali inapata wapi guts za kudai hizo pesa na ilhali haikufanya jitihada zozote kufuatilia tuhuma hizo za rushwa ikaiachia serekali ya malkia kufanya hivyo! BAE kukataa kuilipa serikali ya tanzania wana kila sababu ya kufanya hivyo, sababu hakuna cha maana ambacho serikali itafanya kupitia hzo pesa! hebu tukumbuke stimulus package, mabilioni ya kikwete, kilimo kwanza nk. acountability iko wapi?