Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Tegeta secondary wewe unajua ya nani
Na yenyewe imeripotiwa na Gazeti la Mwananchi imeuzwa Kinyemela
Tegeta secondary wewe unajua ya nani
Acha kulialia, we mtanzania wa wapi ambaye hujui hata hili?Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.
Mwongezee na hizi Tabata wazazi DSM, tegeta DSM, omumwani BK h(nahisi hii ndiyo inayoongelewa)Mfano, Meta Sec School-Mbeya, Sangu Sec School-Mbeya na Ivumwe? Sec School hapo ni kwa Mbeya jiji tu.
Ni kweli mkuu, huyu jamaa anafikiri Abdalah Bulembo anapata wapi pesa za kuchezea kama sio kutoka kwenye hizi shule za Wazazi (wa ccm).Mwongezee na hizi Tabata wazazi DSM, tegeta DSM, omumwani BK h(nahisi hii ndiyo inayoongelewa)
Wala sikushangai sbb kiwango chenu cha kuongoza na kuiletea hii nchi maendeleo imefikia hapo mlipo.Bavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Tatizo siyo shule wanasom wakina nani.kwani wanasoma bure?Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
Ya shuleMapato yapi?
Kama nyie mnavyozeeka kwa kusugua makalio hapo Lumumba?Bavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Kama nyie mnavyozeeka kwa kusugua makalio hapo Lumumba?
Kama shule ya binafsi unaona ni sawa kukarabati wa kwa fedha za umma, maana shule ya ccm ni mali ya chama cha ccm, hivyo basi kwa nini usione ni sawa pia kukarabati nyumba za watu masikini zilizoharibiwa na tetemeko?Tumeshachoka na hizi habari za kagera na tetesi za uongo muda wte, ukifatilia utakuta cyo kweli...hiyo hela si ni kwa ajili ya maafs kama shule iliharibiwa na ipo ile sehemu hata ikiwa ni mtu binafsi kwa nini usikarabatiwe? Sitetei uozo ila Hii sasa imekuwa too much.
Wewe unaaminije uhuru wakati hulisomi badala yake ubasoma mwansnchi usiloliaminiInakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
Walivyo vila.za eti bado wanamatumaini ya kuteuliwaTeuzi zooooote hizi zimewapitia kushoto kwa sababu wana akili kiduchu tu za kuvalia nguo na kuvukia bara bara tu.
Meta secondary mbeya ni ya nani?Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.
Hukusikia shule ya ccm iliyouzwa kinyemela? Shule ya sekondari sangu ni shule ya umoja wa wazazi ya ccm. Ziko na nyingine nyingi tu.Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.