Fedha za maafa kagera zakarabati shule ya ccm

Fedha za maafa kagera zakarabati shule ya ccm

Nimekuelew mkuu...lkn kma shule imeharibiwa ya private...hairuhusiwi kukarabatiwa na hizi hela za maafa hadi iwe ya serikali?
Kwa tamko la Mkuu wa Mkoa wa Kagera alisema wanakarabati miundombinu ya serikali, je hiyo ni shule ya umma? Fedha hizo zilitakiwa zigawiwe kwa wahanga wote kwa maelezo ya awali wakali wa uchangishaji but kwa kuwa walibadili gia angani basi watekeleze kama walivyosema sio kuwa bias huku watu wengine wakilala nje.
 
Kwa mujibu wa walizishika hizo fedha walisema wanakarabati miundombinu ya serikali kwanza, ndipo waende kwa wananchi sasa nashangaa wamerukiaje miundombinu ya watu binafsi tena !! Kwa hili kuna haja ya kuhoji kwa niaba ya Watanzania wenzetu badala ya kupelekeshwa tu na upepo wa kivyama
 
Hvi jamn hzo shule znazojengwa kwan watasoma watoto Wa kijani peke yao au ni kwa manufaa ya wana kagera wte, sioni tatizo hapo kwa upeo wng mdogo
 
Majungu sio mtaji ila ninavyojua mimi shule zote zilizoharibiwa zimepewa fedha ya ukarabati nothing else. Mi natokea huko mkuu

Hoja hapa siyo unatokea huko au hapana, hoja ni ubishi wako kuwa CCM haimiliki shule.
 
Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.
Shule zote za jumuiya ya wazazi ni za ccm
 
Bavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Natamani ningekuwa kama wewe! Unafurahia maisha sana maana hujui chochote kinachoendelea nchi hii. Inawezekana kinachokutofautisha wewe na jiwe ni kupumua tu lakini mengine yote ni sawa.
 
Na hiyo shule wanasoma watoto wa wana ccm tu?...nieleweshe kwa hoja cyo kwa ushabiki wa vyama.
Tumia common sense weweee!!! Haijalishi kama wanasoma watoto wa ccm tu au wa watanzania wote, kitu cha msingi shule sio ya serikali. Unauliza nanilii ya mnyama iko wapi wakati mkia unauona!!!
 
Shule ya sisiemu?? Ipi hiyo?? Na je kama ipo wanasoma kina nani??
Si ajabu taaluma ya uandishi inafanyiwa mabadiliko, waandishi njaa na wasiotumia logic tamati yao imefika.
Alafu mi sio Mbowe, sikushikii akili hivyo ni uamuzi wako kuliamini au la!
nani amekwambia hilo gazeti la mbowe? basi utakua umekubali kushikiwa na olesendeka
 
Bavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Hivi wewe jinga umeishia darasa la tatu c au la pili?akili yako ni ndogo kiasi magu hawezi kukupa hata "u-ambassador of ten houses"
kila ishu unaleta ukada!!jinga sana wewe.
 
Hivi wewe jinga umeishia darasa la tatu c au la pili?akili yako ni ndogo kiasi magu hawezi kukupa hata "u-ambassador of ten houses"
kila ishu unaleta ukada!!jinga sana wewe.
Usitoe hiyo mimba Dada, Lowasa atalia sana
 
Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.

Jumuiya ya Wazazi ya CCM inamiliki shule,kama hujui uliza,au muulize mzee Bulembo,moja ya shule yake inaitwa Mkono wa Mara ipo Ilonga,Kilosa
 
Back
Top Bottom