Fedha za maafa kagera zakarabati shule ya ccm

Tumeshachoka na hizi habari za kagera na tetesi za uongo muda wte, ukifatilia utakuta cyo kweli...hiyo hela si ni kwa ajili ya maafs kama shule iliharibiwa na ipo ile sehemu hata ikiwa ni mtu binafsi kwa nini usikarabatiwe? Sitetei uozo ila Hii sasa imekuwa too much.
 
Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.
 
chanzo: gazeti la Mwananchi Leo 20/11/2016

Hii nayo ni miongoni mwa miundombinu ya serikali?

Hapa kazi tu
Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
 
Haihitaji kutundikiwa bango la kusema "SISI HUSEMA KUWASHAWISHI WATU, LAKINI HATUKO TAYARI KUFANYA TUYASEMAYO" AU "TUAMINI AT YOUR OWN RISK".

Unashangaa nini?
 
Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??

Muongo ni gazeti la mwananchi kwa kureport fedha za maafa zakarabati shule ya ccm? AU Wewe ulilyewataka watu watoe fedha za maafa kumbe unalenga kutumia kwa chama chako? Pumbavue kama huna hoja unakaa kimya.
 
Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
Kwani nalo limekuwa kama UHURU na MAJIRA?
 
Tumeshachoka na hizi habari za kagera na tetesi za uongo muda wte, ukifatilia utakuta cyo kweli...hiyo hela si ni kwa ajili ya maafs kama shule iliharibiwa na ipo ile sehemu hata ikiwa ni mtu binafsi kwa nini usikarabatiwe? Sitetei uozo ila Hii sasa imekuwa too much.
Kama hujui chochote bora unyamaze!
 
Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
tusiliamini kisa limeandika usichopenda kusikia?
 
Back
Top Bottom