Fedha za maafa kagera zakarabati shule ya ccm

Fedha za maafa kagera zakarabati shule ya ccm

tusiliamini kisa limeandika usichopenda kusikia?
Shule ya sisiemu?? Ipi hiyo?? Na je kama ipo wanasoma kina nani??
Si ajabu taaluma ya uandishi inafanyiwa mabadiliko, waandishi njaa na wasiotumia logic tamati yao imefika.
Alafu mi sio Mbowe, sikushikii akili hivyo ni uamuzi wako kuliamini au la!
 
Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
Disliked
 
Bavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Kama kumpiga warioba nikuoneana wivu hata mkapa yy aliwauwa wapemba mwaka 2001 lkn hakuna hata taifa moja lililo ona wivu ispokua kumlani na kumsema vibaya mpaka leo anapunguzwa nyama utasema yupi ktk bucha
 
Hii inazidi kuimarisha msimamo wangu wa kutokutoa mchango wowote tena wa kusaidia waathirika wa maafa
Mbn hujawahi toa mchango hata siku moja maana huwezi msidia mtu kwani wewe mwenyewe hujitosherezi na huwezi kujisimamia unatumika na mbowe kwa kila kitu utawezaje kuchangia
 
Kama kumpiga warioba nikuoneana wivu hata mkapa yy aliwauwa wapemba mwaka 2001 lkn hakuna hata taifa moja lililo ona wivu ispokua kumlani na kumsema vibaya mpaka leo anapunguzwa nyama utasema yupi ktk bucha
Warioba sio mpemba, kumbuka hilo ndugu aziza.
 
Kama hujui kama CCM inamiliki shule basi hustahili kuwa member wa JF nenda kaceze kigodoro ndiyo saizi yako.
Majungu sio mtaji ila ninavyojua mimi shule zote zilizoharibiwa zimepewa fedha ya ukarabati nothing else. Mi natokea huko mkuu
 
chanzo: gazeti la Mwananchi Leo 20/11/2016

Hii nayo ni miongoni mwa miundombinu ya serikali?

Hapa kazi tu
Tuwekee nakala mkuu, wengine tuko mikoani ambako magazeti yanfika after 2 days. Jazia nyama habari ikae vzr.
 
Majungu sio mtaji ila ninavyojua mimi shule zote zilizoharibiwa zimepewa fedha ya ukarabati nothing else. Mi natokea huko mkuu
Wewe utakuwa unatokea dodoma. wanaotoka huko wanafahamika. hujui shida tunazozipata huku wewe mnyamaanga.
 
Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.
Unauliza kwa mkoa wa kagera au Tz nzima hujui kama CCM ina miliki Shule za sekondari?
 
Shule ya sisiemu?? Ipi hiyo?? Na je kama ipo wanasoma kina nani??
Si ajabu taaluma ya uandishi inafanyiwa mabadiliko, waandishi njaa na wasiotumia logic tamati yao imefika.
Alafu mi sio Mbowe, sikushikii akili hivyo ni uamuzi wako kuliamini au la!
Povu la nini sasa.
 
Hivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.
Mkuu kama hujui ccm inamiliki shule basi elewa kuanzia leo kuwa ccm inamiliki shule kibao nchini ambazo zilijengwa na wananchi kwa lugha ya shule za wazazi. Baada ya kuingia kwa mfumo wa vyama vingi chama hiki kikongwe kilijimilikisha ikiwa ni pamoja na viwanja vya michezo na vitu vingine kibao.
 
Shule ya sisiemu?? Ipi hiyo?? Na je kama ipo wanasoma kina nani??
Si ajabu taaluma ya uandishi inafanyiwa mabadiliko, waandishi njaa na wasiotumia logic tamati yao imefika.
Alafu mi sio Mbowe, sikushikii akili hivyo ni uamuzi wako kuliamini au la!
Kwa upeo wako mdogo unaona habari hiyo ina mapungufu? Na si ajabu mwandishi aliyeandika hiyo habari ana uwezo wa kukulisha wewe na vitegemezi vyako! Kwanini mmechagua kujitia upofu hata katika mambo ya msingi? Kwa akili yako ya kilumumba unaona ni sawa fedha zile zikatumike kujenga shule inayomilikiwa na CCM?
 
Back
Top Bottom