Fedha za kichawi kumbe zipo

Fedha za kichawi kumbe zipo

Jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa nyuma nilihisi kuwa labda jamaa mmoja amenikwaluza nikiwa naandalia gari nikaonana na jamaa ambaye tulisoma naye chuo mimi nikawa nimepata kazi ya kuajiliwa nataka kuondoka jamaa ana hammer yake tukaenda hoter mmoja yenye ghalama ile mbaya tukakaa nikaanza kuuliza vipi bwana pesa ulipata wapi
jamaa akaanza kucheka sana akasema kuwa kama nataka utajiri nimwambie tu anipe nikamwambia kuwa hebu nipe jamaa akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu na yeye ataandamwa na matatizo mengi sana
nilichojifunza jana kumbe wanawake wanaopenda hela wanashida sana imebidi leo nipige maombi kabisa jamaa baadae nikamuacha ili niwahi nyumbani leo

pole sana kikubwa mkuu fanya sana kazi na usitegemee kiini macho man komaa tu bongo hela ipo..
 
Ndio maana waafrika tunabaki nyuma - ikiwa mtu atazingatia kitu kama hiki !!
 
ila tuache utani pesa za kichawi masharti yake magumu sana!
 
Mchawi wewe na comments zako zlipumbafu...

Poor Tanzanians. Shame on you.

So let’s see here….

You think witches are powerful enough to give you monies?
…yet witches could not stop asking you for monies

…and this whole thing morphed into witches can give you monies
Is it some mental disability that makes educated people migrate to witches/witchcraft...?

…or is it poverty that make them morph into diabolical needs?

Mchawi wewe na comments zako zlipumbafu...

Let me prove you wrong through Islamic sources:

According to Muhammad’s own definition of witchcraft, Muhammad was himself guilty of practicing that demonic and diabolic art. Muhammad defines witchcraft as follows:

Qur’an 113.003 “From the mischievous evil of Darkness as it becomes intensely dark, and from the mischief of those who practice the evil of malignant witchcraftand blowing on knots, and from the mischievous evil of the envier when he covets.”

And the Hadith records that Muhammad did these very things:

Bukhari:V7B71N643 “I heard the Prophet saying, ‘If anyone sees something he dislikes, he should blow three times on his left side and its evil will not harm him.’”

Bukhari:V6B61N535“Whenever the Prophet became ill he used to blow his breath over his body hoping for its blessing.”

Bukhari:V6B61N536
“When the Prophet went to bed he would cup his
hands together and blow over them reciting surahs. He would then rub his hands over whatever parts of his body he could reach, starting with his head, face and frontal areas.”

Exactly why Muhammad thinks he will be able to beat evil with what he called evil is beyond me. But I would not deny that Muhammad here confesses that he practices witchcraft since the implicit confession is obvious to all without an obvious bias.
 
Jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa nyuma nilihisi kuwa labda jamaa mmoja amenikwaluza nikiwa naandalia gari nikaonana na jamaa ambaye tulisoma naye chuo mimi nikawa nimepata kazi ya kuajiliwa nataka kuondoka jamaa ana hammer yake tukaenda hoter mmoja yenye ghalama ile mbaya tukakaa nikaanza kuuliza vipi bwana pesa ulipata wapi
jamaa akaanza kucheka sana akasema kuwa kama nataka utajiri nimwambie tu anipe nikamwambia kuwa hebu nipe jamaa akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu na yeye ataandamwa na matatizo mengi sana
nilichojifunza jana kumbe wanawake wanaopenda hela wanashida sana imebidi leo nipige maombi kabisa jamaa baadae nikamuacha ili niwahi nyumbani leo

Hana lolote huyo keshabeba sembe halafu anataka kukurusha stimu tuu
Tuliwaona wengi sana wanasema kuwa wao no Freemason wakati hati Sir Andy Chande hawamjui
Vile vile kuna wale waarabu wa Tanza wanajidai pesa za majini kumbe tembo na faru wanapote kila siku
Hamna kitu kam icho jamaa kakurusha stimu tuu
 
Nina mashaka na uhitimu wako wa chuo! Aya nzima haina nukta, koma n.k. Lugha iliyotumika hainishawishi kuwa wewe ni mhitimu wa chuo.
 
Hahahhaa hebu ona hii kama ni kweli na kakuambia usivujishe siri mbona umekuja kusema hapa? Hivi kama na yeye aliyekuambia hayo naye yupo@ Jf akiona umepost kitu kama hiki utamwambia nini? Hebu acha kabisa kutufanya sisi watoto na hadithi ya sungura na fisi
 
Patia mimi pm ya jamaa fasta fasta vigezo na masharti naviweza.
 
Amenikwaluza, hoter, nimejiliwa loh kwa kiswahili hiki huwezi pata hela.

gari iliisha mafuta katika tembea tembea zake mara ikafika shell mara amekwanguliwa..... kweli huyu hawezi pata pesa.....
 
nimekupim kamanda nataka huo utajiri men mambvo ya kuwa wengi kwetu halafu tajiri anamiliki noa sio ishu
tuwasiliane niende kwa huyo mganga nifanye maisha men.Kitu cha hammer
 
Ninaanza kuelewa kwa nini wazungu wanatutania kwa kutuita nyani,aiingii akilini kwenye karne hii bado kuna watu wanatafuta maendeleo kichawi
inaingia akilini lakini na kupata utapata , baada ya hapo wliokusaidia utawajua undani wao na hapo ndiyo utajua maharagea ni mboga au dawa ya tumbo , masharti jumlisha na dhamana ya roho yako vitakuwa vimeshikiliwa kwa miaka kadhaa na wewe unakufa vifo vya ajabu ajabu . wanakuwa wamefuga kitu chao ambaye ni wewe ili wapate hazina ya damu si vitu vya kujivunia hata kidogo . mimi huwa najivunia misoto yangu kwa kuwa ni natural napata mlo wangu rahaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom