Fedha za kichawi kumbe zipo

Fedha za kichawi kumbe zipo

Nilitokea Mwanza nilikuwaq nimekaa na kijana wa miaka kama 26 hivi akaniuliza, kaka samahani nilikotok maisha ni magumu sana hivyo watu wamenishauri nijiunga na shirika la kimataifa la freemason, aakawa anaulizia contact zake ili ajiunge na atajirike sasa unafikiri watu hawatumii uganga kutafuta utajiri?
 
jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa nyuma nilihisi kuwa labda jamaa mmoja amenikwaluza nikiwa naandalia gari nikaonana na jamaa ambaye tulisoma naye chuo mimi nikawa nimepata kazi ya kuajiliwa nataka kuondoka jamaa ana hammer yake tukaenda hoter mmoja yenye ghalama ile mbaya tukakaa nikaanza kuuliza vipi bwana pesa ulipata wapi
jamaa akaanza kucheka sana akasema kuwa kama nataka utajiri nimwambie tu anipe nikamwambia kuwa hebu nipe jamaa akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu na yeye ataandamwa na matatizo mengi sana
nilichojifunza jana kumbe wanawake wanaopenda hela wanashida sana imebidi leo nipige maombi kabisa jamaa baadae nikamuacha ili niwahi nyumbani leo


mkuu mbona tanzania kwa sasa hakuna kampuni ya shell?
Kwenye alama nyekundu sijaelewa vizuri mkuu
 
Huku Simiyu ndo mpango mzima!

Wasukuma wa Ntuzu (Wanyantuzu) ndo zao hizo, bila kwenda kwa mganga hakuna biashara. Ila masharti yake sasa usiombe. unaweza kuambiwa umtoe kafara mke wako, mtoto wako au mmoja wa wazazi wako. Jamani ujinga utatumaliza sisi mazombie!! Anayekuahidi utajiri yeye anaishi kwenye lindi la umaskini, sasa kama angekuwa na uwezo na utajiri si angeanzia kwake kwanza? Yote haya yanafanyika kwa kukosa kwetu maarifa!!
 
Ni namna ya kukuvuta tuu ikishaibngia line utashangaa unapoambiwa umtoa kafala mmoja kati ya zawazi wako au wanao ndo utakapotia AKILI
 
huyo mganga wake ni bilionea kiasi gani? au ndo anamiliki ule mnara mferu dubai? akili za kuambiwa changanya na zako, huyo mganga mwnyewe masikini wakutupwa, akupe wewe hela ndugu azitoe wapi?
 
Poor Tanzanians. Shame on you.

So let’s see here….

You think witches are powerful enough to give you monies?
…yet witches could not stop asking you for monies

…and this whole thing morphed into witches can give you monies
Is it some mental disability that makes educated people migrate to witches/witchcraft...?

…or is it poverty that make them morph into diabolical needs?



Sasa hapa vipi... UNAHUTUBIA KWA KIINGEREZA KWA WATANZANIA AMBAO SI WAONGEEAJI WA KIINGEREZA
 
Jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa nyuma nilihisi kuwa labda jamaa mmoja amenikwaluza nikiwa naandalia gari nikaonana na jamaa ambaye tulisoma naye chuo mimi nikawa nimepata kazi ya kuajiliwa nataka kuondoka jamaa ana hammer yake tukaenda hoter mmoja yenye ghalama ile mbaya tukakaa nikaanza kuuliza vipi bwana pesa ulipata wapi
jamaa akaanza kucheka sana akasema kuwa kama nataka utajiri nimwambie tu anipe nikamwambia kuwa hebu nipe jamaa akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu na yeye ataandamwa na matatizo mengi sana
nilichojifunza jana kumbe wanawake wanaopenda hela wanashida sana imebidi leo nipige maombi kabisa jamaa baadae nikamuacha ili niwahi nyumbani leo
"Kuna wanawake wengine wazuri bhana..ntavunja masharti bure ...'
 
Back
Top Bottom