FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2017-06-12-16-00-37.png

Verrati sema....!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Screenshot_2017-06-15-08-49-22.png

Habari nyingine njema kabisa lile toto linalochipukia mkoba hatari sana duniani Marlon ameshachukuliwa rasmi na Barca
 
mkuu unauhakika chanzo chako? maana mitandaoni naona anataka kwenda RM.

Mkuu Vipi bado hamjampata VERATTI TU?...Huo utakua uzushi tuu unaenezwa na PSG Officials ili kukuza Dau la nyota Huyo...sio rahisi kwa veratti kuja pale Real maana hatoweza kuanza katika kila mechi wakati ana option ya barca na hapo kwenu akitua ataanza kwenye mechi zote.
 
Nasikia PSG wamekataa €100m?
Huyi Verrati answeza tupotezea muda.

Lakini nilikuambia ile Siku kuwa PSG wanajua dimba lenu limepwaya pale kati na mtu sahihi kwenu wanaye wao ukizingatia na umri wake kwa midfielder ni gold sana hivyo mtamtumia Jamaa kwa muda mrefu...wewe angalia tu modric pale kwetu real ana 31yrs lakini yupo kwenye ubora wake ule aliokuwa nao Spurs japo sahivi kapunguza kidogo kukaba kama awali ila dimba bado analimiliki vyema sio kitoto, Na ndio maana wamekaza dau lake ila Jamaa anajua sana...pandeni kidogo mnaweza mkapamta, kengine mnatakiwa kujua siku hizi wachezaji wana bei za ajabu sana Kule ulaya...SASA KIUNGO WAKAWAIDA KAMA POGBA KANUNULIWA KWA £100...NDO VERATTI AUZWE KWA £75???...Ata PSG Wameshtuka hapo, ila natamani angekuja pale Real lakini ndo ivyo tuna midfielder wazuri wengi na hatuna pengo la kiungo.
 
Verrati hana shida. Shida ni PSG. Wanafikiri kila mtu ana hela za mafuta kutapanya. Wapuuzi sana.

Mwageni pesa acheni ubahili nyie Catalans...ingekuwa ni timu yangu Real huyo kijana veratti angekuwa kashavaa Uzi wetu zamani maana Real hatujifungi tukimtaka Mchezaji mzuri ila ndo hivyo sisi hatuna pengo la Midfielders...tunao wengi.
 
Verrati hana shida. Shida ni PSG. Wanafikiri kila mtu ana hela za mafuta kutapanya. Wapuuzi sana.

Nimesoma mtandaoni kuhusu transifer news...nimeikuta hiyo habari ya verratti ipo tofauti kidogo na tatizo sio hilo dau mliloweka mezani Bali tatizo ni MMILIKI WA PSG Ndo huwa mkorofi kuwaruhusu wachezaji kuondoka pale...na moja ya sheria iliyomo kwenye mikataba ya PSG ni KUWA "MCHEZAJI HATAKIWI ATA KUFANYA MAZUNGUMZO YA AWALI NA CLUB MPYA INAYOTAKA KUMSAJILI AKIWA BADO HAJAMALIZA MKATABA NA PSG"...Maana yake hii inahitaji Club inayotaka kumsajili mchezaji kutoka PSG akiwa kwenye mkataba wake...Wafanye mazungumzo ya moja kwa moja na Timu(PSG) Pekee...nimeona wanasema Verratti awe makini anaweza akazuiwa kuhama kabisa na mmiliki huyo wa PSG kama alivyofanyiwaga Thiago Motta kipindi Kile alivyotaka kuihama PSG kwa sababu ya kuanza mazungumzo ya awali na Club mpya iliyotaka kumsajili...hii kwenye sheria za mikataba ya wachezaji pale PSG hairuhusiwi ata kidogo na ikitokea mchezaji amekiuka kifungu hicho cha sheria Uongozi wa timu unauwezo Wa kublock transfer yake...hivyo wakala Wa Verratti alisema kuwa wanajaribu kufanya mazungumzo ya kisheria na PSG waone itakavyokuwa lakini tayari wameshapeleka maombi ya Verratti kwa Rais Wa klabu hiyo juu ya uhitaji wake kuihama PSG msimu huu Wa majira ya joto...lakini kuna ugumu sana kwa kuwa Verratti tayari alishaingia mkataba mwingine na PSG Wa miaka mitano mwaka Jana na imebakia miaka minne ya kuitumikia PSG hivyo maamuzi makubwa ya kiungo Huyo kuondoka PSG yapo mikononi mwa uongozi Wa klabu hiyo.
 
Barca is the best team ikiwa tu kama mwaka mbaya kwetu hatujapata mafanikio tunasumbua laliga hadi dk ya mwisho,tunachukua Cdl ,na UEFA tunaishia robo etc
We always deserve better than this hopeful mwakani treble inahusika for the best team in the world
Hayo mambo ya Treble sahau
 
Kuna taarifa kwamba Marco Verratti ametangaza kugomea kuwa na PSG katika Pre-season iwapo wataendelea kugomea transfer yake kwenda Barca. Inasemekana Verratti ana-force a move to Barca
 
Verrati sijui kashindikana? naona saahizi tunakomaa na Dembele na MF wa santos Brazil, Lucas Lima ambaye atakuja January
 
Verrati sijui kashindikana? naona saahizi tunakomaa na Dembele na MF wa santos Brazil, Lucas Lima ambaye atakuja January
Verrati Mkataba wa PSG unambana Japo naye amejaribu kuforce Kuja Barca Lakini Naskia sheria ya Mkataba ya PSG ni Ngumu Kidogo
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom