GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,299
Huyu dogo noma sanazile mbio za Roberto siyo za dunia hii. mzee wa kazi. msimu ujao anasimama kiungo.
Huyu dogo noma sanazile mbio za Roberto siyo za dunia hii. mzee wa kazi. msimu ujao anasimama kiungo.
Pale katikati Father Iniesta mambo uliyafanya jana hawatakusahau ,Iniesta katikati ukiupata mpira unacheza kama uko playastation unachambua kama karanga
Ile ni natural talent like wine inazidi kua tamuYule mzee anazeeka na utamu wake sijui kwanini hataki kuwapa watoto maujanja
Ile ni natural talent like wine inazidi kua tamu
Roberto wanamchezesha nafasi isiyo yake, imagine angekuwa anawekwa kiuongo hiyo speed yake ingekuwajeHuyu dogo noma sana