FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FIGISU ZA FIFA

Yanayosemwa yote kuhusu Messi ni uongo ambao umepikwa kama revenge ya FIFA kwa Messi pale alipokataa kuhudhuria shindano lao lililopikwa mwanzo mwa mwaka huu
Assistant referee ambaye wanasema ame be verbally abused hajui na wala hakusikia sauti yakutukanwa na Messi na hata yeye mwenyewe personally anashangwaza na uamuzi wakum ban king match 4
Hawa ndio Fifa chombo kinachoongoza rushwa na uonevu wa football duniani kwa maamuzi ya ajabu ajabu sana
 
Sasa anarudi Spain Madrid na Juventus you gonna pay for it
Namfahamu sana Lapruga lazima awaonyesheni kuwa yeye ni king wa football am soon expecting 2 recent hattricks mark my words
 
Sikuangalia aisee mkuu ila nmeona tu highlights nmekasirishwa sana na kitendo walichofanya FIFA wako so biased
golil la pili Busketi alitoa pasi kali kwenda kwa Alba ambaye alimtengea Deulofeu. ishu ya King sijaipata kiundani, kuna matumaini kwenye rufaa?
 
Hizo ni njama from fifa, na walichokua wanakitaka kutoka kwa king messi tayari wamefanikisha, so Argentina imefungwa na Bolivia mechi ya jana na kurudi nafasi yao ya tano....ndicho fifa walichokua wanakitaka na wamefaulu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hizo ni njama from fifa, na walichokua wanakitaka kutoka kwa king messi tayari wamefanikisha, so Argentina imefungwa na Bolivia mechi ya jana na kurudi nafasi yao ya tano....ndicho fifa walichokua wanakitaka na wamefaulu.
Mbona povu hivyo kwani Argentina ikiwa na Mess wamecheza mashindano mangapi ya world cup na Copper America na je amebeba makombe mangapi ya mashindano hayo?
 
leo hakuna wasiwasi kupata point toka Granada. ila asije akaanzisha kikosi cha kina Gomes kibao kikatugeukia. inabidi kila mechi tucheze kama fainali.
hakika .mkuu na itakuwa vema kama madrid akisuluhu au kupoteza japo mechi moja ili tukikutana nae el clasico tummalize kabisa
 
LEO KING HATOCHEZA
inabidi tukaze sana
bado tuko fresh, nimependa Gomes kucheza kushoto. akiwa kule na Roberto tunakuwaga na hali ngumu.
upload_2017-4-2_21-34-40.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom