Kilichomtolesha hiyo poll ana conversion rate kubwa sana halafu amefunga goli moja tu (matatu ni penalties) can you imagine laliga tangu msimu uanze amepiga ma shoot karibia 200's na amekaa position za kufunga mara nyingi sana ,mbaya zaidi he is not a player maker akawatengenezea wenzake zaidi ya kuwaharibia na selfishnessUjanja ujanja wa kuvizia sahivi hauna nafasi
Tena asipate goli kabisasijawahi fikiria kumuombea Madrid ashinde game,but today naomba ashinde wasije implode-we need some parity ktk la liga-I hope Ronaldo apate goal press iache kumshambulia
Me nataka afungwe au atoe draw jeuri yao ya mwaka jana bado kabisa haijaniisha wame rob tuzo kibao kisa Ronaldo anavizia kwenye box akipiga shoot credit zote kwakesijawahi fikiria kumuombea Madrid ashinde game,but today naomba ashinde wasije implode-we need some parity ktk la liga-I hope Ronaldo apate goal press iache kumshambulia
kufungwa kwa Madrid leo kunaweza kuwa na roller ball effect kwetu na sisi tukakuta tumepoteza gameMe nataka afungwe au atoe draw jeuri yao ya mwaka jana bado kabisa haijaniisha wame rob tuzo kibao kisa Ronaldo anavizia kwenye box akipiga shoot credit zote kwake
Ujanja ujanja una mwisho jackline 1 ,hicho wanachofanya media ni malipo kwa Ronaldo ,anapenda sana kujisifia ana low self esteem ,very selfish.
Hua hamchelewi tu kusahau Ronaldo kiwango kimeshuka kuanzia mwaka jana mwanzoni kilichomuokoa ni UEFA ambayo fairly kabisa ni team work lakini credit alikua anakula alone
Wachezaji wenzake walianza kumpa mgomo baridi dressing room na akawa anaambiwa kiwango kinashuka .
Last Laliga walioichukulisha Madrid laliga Santender ni Morata,Isco,Ansensio ,Marcelo na Sergio Ramos
Kitu kinachoshangaza zaidi u selfish wa ronaldo anawaita hao madogo wana utoto mwingi
Hatuna relationship ya namna hiyo na madrid tusingekua tumefika hapa ,right now tunamuangalia mshindi wa pili Atletico Madrid ambaye tunataka tupige gap ya point nane ,Girona jana walitutengenezea mazingira mazuri (draw)kufungwa kwa Madrid leo kunaweza kuwa na roller ball effect kwetu na sisi tukakuta tumepoteza game
We put a crazy ina our teamView attachment 681390
Tahira wetu huyu ha ha ha tutafaidi sana huu mwaka
Sio xhaka?View attachment 656512Kwa midfielders wa madrid huyu jamaa nadhani anaongoza kwa kuonewa na Messi
Kaa hii timu imeozaHa ha ha dakika ya 22 Madrid anapigwa goli hapa