Nilijua ntakuta umelichambua hili suala🙂🙂. Mi hata sijaelewa ila naona kama Messi hakuwa offside Suarez naona kama alikuwa offside, labda linesman alijua Messi ndiyo anafunga.
Nimesoma barcablaugranes kuna mtu kasema kuwa Messi hakuwa offside na Suarez naye hakuwa offside kwasababu hakuwa mbele ya mpira wakati anapokea ile pasi wote na Messi walikuwa kwenye line moja.