Cule' [HASHTAG]#forcaBarca[/HASHTAG]
Leo please Paulinho na dogo Dennis Suarez naomba wapewe airtime kubwa hasa ukizingatia Pique (adhabu) ,Macherano (injury) tunahitaji defensive midfielder wa uhakika ambaye atashirikiana na S.Basquets na Ratikic apige upande wa kulia kama kawaida yetu (fake 8 au 10)