Umtiti ndio anaeongoza la liga yote kwa kutoa pass,wenyeji wanalalamika imekuaje defender aongoze-kwa mtindo wa tiki taka midfielders ndio wanatakiwa waongoze kwa ku spray passes left,right and centre-wanadai Velverde anakiuka principles za Barca kwa kuchukua ubingwa kwa mabavu na sio in style