So far so good. Dennis kacheza vizuri sana. Winga ya kushoto. Ila baada ya Deu kuingia naona atarudi kati.Juve huko kapigwa moja hadi sasa
Akipigwa ataturahisishia sana kazi.
ball balance ball brain and ball skills kwa denis suarez kuna vitu kama anachukua kwa babu iniesta..hila yule delofeu aisee itabidi aondoke tu mchezaji skills hana anakimbia kimbia tu