Vivé le Barça!
Ila wanacheza sana mpira wa kishosti, umbea unakuwa mwingi kiasi kwamba hata utamu wa soka lao unakuwa spoilt...
Raha ya soka ufungwe kihalali, wenyewe wanasema kiroho safi.
Nimekereka kwa kweli.
Tatizo ni line up zinzzobadilika kila mechi, mfano mechi hii na osasuna Pep aliweka midfield ya Thiago Mascherano Sergi Roberto, ambao hawajawahi kucheza pamoja hata mechi moja, so ikawa ngumu kupanga namna ya kulinda na kushambulia, kingine ni kuwa tuliwafunga osasuna 8-0, mechi ya kwanza na tukakutana kwenye Copa na kuwafunga mechi zote kwa hiyo walijiandaa kikamilifu kuikabili Barca.