Kinachonifurahisha ni kuwa sasa hivi kikosi chetu kinaimprove maana tunapata rotation kwa kila mchezaji sema Denis Suarez ananiuma kutopata time ya kutosha kuonesha mavitu yake.
hivi yule delofeu tulimrudisha kwa kiasi gani?maana back pass nyingi hajui kunyumbulika anacheza winger ya kizamani kusubiri huko huko juu aisee kwanini denis suarez mnyama hamchezeshi?