Tumemchukua Dembele tayari [emoji23][emoji23]Hii thread siku hizi imeharibika,transfer unaziona humu tuu,nowhere else. All in all match ya kesho itatupa picha halisi ya timu yetu-first match hatuiesabu cause nerves zilitawala
Mkuu seri nadhani ana 26Dembele:
umri :20 (1997)
Height :1.78M
Rate:7.5
Nilichokiona mimi binafsi kwa ousmane Dembele
1.skilful (ana hold mipira)
2.position -anacheza vizuri sana no 7 ila anaweza akapiga no 11 (kama Neymar)
3.stamina (physique ) anayo sana nampa 85% tofauti na Neymar alipofika barca (alikua mwepesi sana)
4.Speed na aggressiveness nampa-90% anakimbia sana jamaa na mpira bila kuusahau nyuma
5.PLay making (goal making) nampa-90% hapa ni pamoja na pass accuracy Fifa wamempa 70%.hasa yuko good kwenye long pass
6.shooting and goal scoring nampa ratio ya 2:1 -hii factor inamtofautisha yeye na Mbappe mfaransa mwenzake hata wanapokua wanacheza national team
So nime conclude jamaa ameletwa kama playmaker ambaye ana kasi sana hasa akicheza right flank na awe anapiga pass za mwisho
For me ni replacement nzuri ya Neymar but we still need offensive midfielder Cort is the best
Vilevile Jean M seri atatufaa hasa kwenye hiyo ahe yake ya 25 kama mid fielder
Dah!Dembele:

Usiwe na wasiwasi kijana, ni jambo la kawaida sana, deal kama hizi lazima watu wawe makini sana, dogo anatua Camp NouDah!
Mkuu mbona naona tena
Dortmund wanagoma wanasema deal bado negotiation zinaendelea?
Wananifanya kichwa kiumeUsiwe na wasiwasi kijana, ni jambo la kawaida sana, deal kama hizi lazima watu wawe makini sana, dogo anatua Camp Nou
Relax, dogo atatia timu ,tusubiri muda wa kutangazwa officialWananifanya kichwa kiume
BaridaRelax, dogo atatia timu ,tusubiri muda wa kutangazwa official
OFFICIAL
Hii ni official instagram account ya FCB ina followers mil 51.nikiwapo na mimi wamesha post dakika 15 zilizopitaWananifanya kichwa kiume
Hapo sawa lakn amewekewa release clause kubwa kuliko king leoHii ni official instagram account ya FCB ina followers mil 51.nikiwapo na mimi wamesha post dakika 15 zilizopita
View attachment 574874
Hilo litakuwa kosa kubwa sanaHapo sasa ni powa. Kosa la jinai Coutihno nae aje, itakuwa balaaa yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app