Julian Draxler inasemekana amewekwa kwenye options za Barca ,management wanatakiwa wanunue tu wachezaji ambao ni potential na kuwauza hawa scrapers akina Andres Gomez,Paco Alcacer ,Arda Turan
Young players wote waachwe
Kwa umri wa Draxler na potential zake anafaa (alikua player bora World cup international champions)
Yeri Mina anatufaa sana kwa umri wake na potential zake katikati
We need to buy 4-5 players na ku scrap hizo ila kigezo kiwe umri mdogo na ball possession