haha nilipotea kutokana na maisha tu mkuu. ila am back
kwa nyie Barca mnahitaj
beki ya kati tu sioni kama mna hitaj sana pembeni hasa left back hamna shda sana. japo kama mki mpata Bellerin huyo huyo ata wafaa.
pia mna hitaj DM mmoja wa nguvuu. halaf mnahitaji mtu specif kama Coutinho awe ana msaidia babu Iniesta
nyie team yenu inafaa kurekebisgwa kdogo tuu.