Idadi ya magoli ya Messi from day 1 siku kama ya leo 2005View attachment 503503
Mkuu unaelewaga unachokisoma???hopeless kabisa
Kwani nani amekuambia kufunga lazima upige header?halafu hilo tangazo mbona liko clear ni statistics za mtu mmoja? we umeona comparison yoyote hapo?halafu utamlinganishaje leo na mtu ambaye amecheza mach 200 zaidi yake na age yao ni different?Nimekuelewa ulichokiandika ila hiyo ni kama Hint tu ya goals za header tu nilikupa ukiwalinganisha hako mafahari Wawili.
Kwani nani amekuambia kufunga lazima upige header?halafu hilo tangazo mbona liko clear ni statistics za mtu mmoja? we umeona comparison yoyote hapo?halafu utamlinganishaje leo na mtu ambaye amecheza mach 200 zaidi yake na age yao ni different?
Hii Nayo unaijua...LEO10 amefikia magoli 500 kwa barca baada ya miaka 12 huku CR7 anamagoli 400 kwa Madrid katika miaka 7 tu...Na kumbuka ni tofauti ya misimu mitano CR7 amezidiwa Na messi apo Spain...hii Ina maana kuwa goal scoring rate ya CR7 kwa madrid katika kila msimu ni nzuri kuliko LEO10...Yani CR7 ana wastani Wa goli 57 kwa kila season aliocheza LALIGA While LEO10 ana wastani Wa goli 42 kwa kila msimu aliocheza LALIGA...Kiwepesi ni kuwa "IF CR7 WAS MOVED TO REAL-MADRID ONLY A TWO SEASONS EARLIER... HE WOULD OVERCOME MESSI SCORING RECORD FOR BARCA"...Mind it or not!!!
View attachment 504239
Hili jukwaa mmebaki against Ronaldo tu. I don't think you will take Copa Del Rey so easy, and that's something you should worry about.
Your thought about what we win or lose doesn't matter at all, same as what we post, Your pal made inexcusable comparison earlier and I was just straightening the fact of who's the Boss between the two Greatest athletes. Whether you like it or not, Messi is far ahead Mr. PAGAN
ufananisho mzuri sana.
La liga bado tupo hai. utashangaa sana ukijikuta huna kombe lolote msimu huu. kwa Bonucci na Chiellini sioni Cr7 akivizia.Hili jukwaa mmebaki against Ronaldo tu. I don't think you will take Copa Del Rey so easy, and that's something you should worry about.