League ngumu mkuu ila bado tutachukua tu kikombe hata kule jirani ana fixtures ngumu sana
Ukikutana na hizi team zilizopo relegation zone wanasumbua sana ,usisahau na uchovu wa wachezaji
League ngumu mkuu ila bado tutachukua tu kikombe hata kule jirani ana fixtures ngumu sana
Ukikutana na hizi team zilizopo relegation zone wanasumbua sana ,usisahau na uchovu wa wachezaji
Kama Deportivo LA coruna katutoa show hivi ndo UEFA Tukipangiwa BAYERN Munich Nahisi Zile 7 zinaweza kujirudia,Nimeshangaa refa wa leo kaongeza dk 3 baada ya 5 kama kawaida yetu.
Tumechukua laliga mara 8 na Madrid mara 2 ndani ya miaka 11 hii sio dominance?we unamjua nani amepanic hadi sasa apunguze gap ya uonevu huu in the past decade?
imeniuma sana hii mechi. hasa tulivyo poteza mipira mingi kwenye 18 yao. hata hivyo bado kama 10 matches. tuombe Betis wakomae. niliwaona betis wakicheza na RSO, wapambanaji sana.