GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Mar 9, 2017 #12,621 PNC 1 said: mkuu umeiangusha Barca Click to expand... Ndio maana nimewaomba msamaha kabisa
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Mar 9, 2017 #12,622 GUI said: Ndio maana nimewaomba msamaha kabisa Click to expand... tuko pamoja mkuu
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,996 Mar 9, 2017 #12,623 PNC 1 said: Click to expand... watu walijua tunajipa matumaini hewa kumbe Barca yetu tunaijua. waliokuwa wanabisha huwa wanaiona barca UCL tu.
PNC 1 said: Click to expand... watu walijua tunajipa matumaini hewa kumbe Barca yetu tunaijua. waliokuwa wanabisha huwa wanaiona barca UCL tu.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Mar 9, 2017 #12,624 Red Giant said: watu walijua tunajipa matumaini hewa kumbe Barca yetu tunaijua. waliokuwa wanabisha huwa wanaiona barca UCL tu. Click to expand... Here you are !!exactly huu ni ukweli 100% .wakati sisi tunakesha tunaangalia hadi wakati wanacheza na small team
Red Giant said: watu walijua tunajipa matumaini hewa kumbe Barca yetu tunaijua. waliokuwa wanabisha huwa wanaiona barca UCL tu. Click to expand... Here you are !!exactly huu ni ukweli 100% .wakati sisi tunakesha tunaangalia hadi wakati wanacheza na small team
M Mledi haswa Senior Member Joined Jan 17, 2013 Posts 161 Reaction score 172 Mar 9, 2017 #12,625 Iceman 3D said: PSG akikaa goli sita nahama nchi mimi Click to expand... Hama sasa
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,996 Mar 9, 2017 #12,626 PNC 1 said: tulipotoka ni mbal Click to expand... tusikilize na hii mkuu cc@Everlenk.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Mar 9, 2017 #12,629 Silali leo usingizi ume paa
Rwaki Member Joined Feb 11, 2017 Posts 60 Reaction score 20 Mar 9, 2017 #12,630 Mkuu unabeti na apps ipi plz, huwa natumia m bet app but not too good je unayo tumia ipi
Gwamahala JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 3,925 Reaction score 2,327 Mar 9, 2017 #12,631 mwekundu said: Silali leo usingizi ume paa Click to expand... Huwezi kulala kwenye hali kama while you're super excited mkuu, ukizingatia ulichokitabiri kimetokea exactly! Leo ni kukesha kwa furaha tu...
mwekundu said: Silali leo usingizi ume paa Click to expand... Huwezi kulala kwenye hali kama while you're super excited mkuu, ukizingatia ulichokitabiri kimetokea exactly! Leo ni kukesha kwa furaha tu...
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Mar 9, 2017 #12,632 Rwaki said: Mkuu unabeti na apps ipi plz, huwa natumia m bet app but not too good je unayo tumia ipi Click to expand... BARCA INAVURUGA WATU
Rwaki said: Mkuu unabeti na apps ipi plz, huwa natumia m bet app but not too good je unayo tumia ipi Click to expand... BARCA INAVURUGA WATU
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Mar 9, 2017 #12,634 PSG raped BARCA in valentines day and BARCA returned to rape PSG in international women day.
Majestic wolf JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 1,248 Reaction score 1,853 Mar 9, 2017 #12,636 Hapa nilipo sauti imekaukaaaaa nafwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sio kwa raha hiii eti tumebebwa na msimu huu treble inatuhusuuuu ahsante Enrique
Hapa nilipo sauti imekaukaaaaa nafwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sio kwa raha hiii eti tumebebwa na msimu huu treble inatuhusuuuu ahsante Enrique
Ally maganga JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 1,433 Reaction score 914 Mar 9, 2017 #12,637 Mwaka huu barcelona anachukua makombe 3. 1.la liga 2.Mfalme 3. Uefa
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Mar 9, 2017 #12,638 Hii ni kumbukumbu ya dunia wafia blaugrana naieweka kwenu
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Mar 9, 2017 #12,639 Ally maganga said: Mwaka huu barcelona anachukua makombe 3. 1.la liga 2.Mfalme 3. Uefa Click to expand... Treble...the only team duniani na Spain kiujumla kuchukua
Ally maganga said: Mwaka huu barcelona anachukua makombe 3. 1.la liga 2.Mfalme 3. Uefa Click to expand... Treble...the only team duniani na Spain kiujumla kuchukua
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Mar 9, 2017 #12,640 Rwaki said: Nielekeze mkuu Click to expand... Aisee me si bet wala nini ila nina spiritual connection na Barca cos i love it !!siku PSG wametufunga nilihisi kuondokewa na kitu mwilini mwangu I prayed nikaona after 3 days tutashinda over
Rwaki said: Nielekeze mkuu Click to expand... Aisee me si bet wala nini ila nina spiritual connection na Barca cos i love it !!siku PSG wametufunga nilihisi kuondokewa na kitu mwilini mwangu I prayed nikaona after 3 days tutashinda over