Yaani timu inacheza cheza tu hata haielweki, sio messi, sio suarez, sio busquets yaani hakuna anaekaa na mpira mguuni na hata akitoa pasi hajui anatoa wapi na kwa nani...
kocha amekua kama Mourinho kipindi kile chelsea hana first eleven hadi leo Enrique this season sasa unaliingiza lile Robot Andres Gomes na kumuacha Rakitic halafu tunaruhusu adui awe na mpira na kuruhusu mipira ya kupenya mingi kweli?huyu S Roberto hadi leo kwanini uwe na imani nae wakati umemjaribia sana hii namba haiwezi kuicheza hii ni sawa?tumefungwa kwa sababu za kiufundi yaani ni kocha
we need team transformation lucho tunakupenda sana lakini naona tunaelekea tamati ,team tangu msimu umeanza haina harmony ya ku press mipira iinstead individual talents ndio zinatumika kuna haja ya Pap arudin aje astaafie pale
kocha amekua kama Mourinho kipindi kile chelsea hana first eleven hadi leo Enrique this season sasa unaliingiza lile Robot Andres Gomes na kumuacha Rakitic halafu tunaruhusu adui awe na mpira na kuruhusu mipira ya kupenya mingi kweli?huyu S Roberto hadi leo kwanini uwe na imani nae wakati umemjaribia sana hii namba haiwezi kuicheza hii ni sawa?tumefungwa kwa sababu za kiufundin yaani kocha
Ila mkuu si Rakitic aliingia na magoli yake mawili Barca leo wamezidiwa na ile chance aliyopoteza yule dogo anacheza namba mbili si bora Alves angepewa tu mkataba mwingine
kocha amekua kama Mourinho kipindi kile chelsea hana first eleven hadi leo Enrique this season sasa unaliingiza lile Robot Andres Gomes na kumuacha Rakitic halafu tunaruhusu adui awe na mpira na kuruhusu mipira ya kupenya mingi kweli?huyu S Roberto hadi leo kwanini uwe na imani nae wakati umemjaribia sana hii namba haiwezi kuicheza hii ni sawa?tumefungwa kwa sababu za kiufundin yaani kocha
Me ni Barca damu kwahiyo nikifungwa roho inauma sana ,tena tunafungwa match ambayo uwezo tunao sema kocha ndio anazingua Bercelona hawana pace na aggressiveness ambayo tunaijua ile touch yetu Lucho unaipoteza inatu cost sana
Nimekereka sana gomes kuanza alaf rakitic anabaki njee yaani hapa mijitu inanitemea mimate tu aghh ushabiki huu mtaa mzima umehamia kwangu....naona ya Bayern yanataka kurudi