Leo Barca haijatulia kabisa mabadiliko yanahitajika haraka sana la sivyo tutachezea mbayaa.....mhhh!!mi nashindwa kuvumilia kwaherni mtanihadithia kesho
winger ya kulia imekufa na wamejua ndiyo maana nguvu zote zipo kwa neymar kule. wanajua goli litatoka huko. angetoka Gomes aingie ivan au dennis au alcantara. mi nilijua kawekwa amsaidie sergio kiulinzi lakini naona wote wanacheza kibob marley.