Wachina wanapata pesa kupitia pay per view
wana wananchi bilioni 1.3
wenye uwezo wa kulipia tv japo milioni 600
imaggine watu milioni 600 ukiwa charge hata dola 50 kwa mwezi utashindwa nni?
ni mfano tu
Kwa kweli leo kulikuwa na harufu ya ile Barca yetu.
Sergio Roberto kusema kweli huwa siyo mzuri kwa ile position anayochezeshwa. Vidal leo kaitendea haki.
Bosquet naye leo kaonyesha umahiri wake tulioumiss kwa muda.