Kiongozi we ndo hujui mpira unakumbuka Barcelona mwaka jana walikua na difference ya point 12?and Real managed kumkaribia kwa difference ya point 2 hadi tunachukua kikombe?hilo kombe ni la kwetu na limeshatuzoea ndani ya miaka 11 iliyopita tumechukua mara 8 ,ninafahamu ninachokiongea league kwa sasa hv ndo still iko katikati usidhan Madrid kuongoza ndo ma champions kuhusu wachezaji kama hujui tume slip match mbili kwa sababu ya kuwajaribia(rotation) wachezaji hao unaowataja hapo wote ni ma underground kabisaMan unalijua bench la Real Madrid au unaandika tu kwasababu JF ulipii. Sasa watu kama Isco, Morata, James, Asensio, Kovavic etc. wanakaa bench bado unadai hicho kikosi hakina replacement? Labda huijui Madrid. Halafu kuna watu wamekupa likes kabisa. [HASHTAG]#Geez[/HASHTAG]
Hajui mpira huyo anauona still anachambuliwa na wasimuliaji wa mipira ya kibongoJamani huyu kocha si ndio kawapa treble mwaka juzi na makombe mawili mwaka jana!!?
Hivi wachezaji kwenye lawama hawapo!!?
Tutashinda japo match ni ngumu kidogoLeo ni mechi ya La Liga kati ya Fc Barcelona dhidi ya Villarreal
Mechi hii tutacheza ugenini
Mechi itachezwa SAA 4:45 usiku
Viva Barcelona
Tunahitaji point 3
Mkuu huu ni mwaka wa 26 camp nou inachezwa tick tacka sema lingine ujibiweBaada ya miaka miaka kupita, hawa akina Sergio, Messi, Iniesta n.k wakiondoka sidhani kama Barca ataendelea na tiki taka maana hatuoni matunda mazuri sana kwa Barca B.
Jamani huyu kocha si ndio kawapa treble mwaka juzi na makombe mawili mwaka jana!!?
Hivi wachezaji kwenye lawama hawapo!!?
Kiongozi we ndo hujui mpira unakumbuka Barcelona mwaka jana walikua na difference ya point 12?and Real managed kumkaribia kwa difference ya point 2 hadi tunachukua kikombe?hilo kombe ni la kwetu na limeshatuzoea ndani ya miaka 11 iliyopita tumechukua mara 8 ,ninafahamu ninachokiongea league kwa sasa hv ndo still iko katikati usidhan Madrid kuongoza ndo ma champions kuhusu wachezaji kama hujui tume slip match mbili kwa sababu ya kuwajaribia(rotation) wachezaji hao unaowataja hapo wote ni ma underground kabisa
Baada ya miaka miaka kupita, hawa akina Sergio, Messi, Iniesta n.k wakiondoka sidhani kama Barca ataendelea na tiki taka maana hatuoni matunda mazuri sana kwa Barca B.
Hajui mpira huyo anauona still anachamvuliwa na wasimuliaji wa mipira ya kibongo
Ila kutafuta kocha kwa ajili ya Barca si mchezo.
Hapo mtoe pep, sio kocha yulee..Luis enrique sio kocha ni kama zidane mm nawakubali sana pep, klop, simeone, pochetino, konte na mourinho. Tulipofikia tunahitaji kocha aina klop kwani mpira wake ni wa kasi na kushambulia. Ss tunaendekeza falsafa timu wa kocha A akiondoka arithiwe na tim kocha B. Sasa huyu luis enrique usajili wake hauna maaana. Na kocha anaposhindwa kusajili tatizo linaanzia hapo. Angalia upande wa midfild amewachukua wa Denis Suarez,yaaaani ni kwamba kuna wachezaji wengine hawana hadhi ya kuichezea barcelona unamuuza Thiago alcantara, unambakiza rafinha alkantara. In short tym haichez vizuri kabisa tunakosa ile fluidity tuliyoizoea. Tungempata Dyabala haswaa akachezeshwa kama midfield otherwise luis enrique should sacked.