Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Nov 27, 2016 #10,941 GUI said: Mjinga huyu, kama anaogopa aache kufundisha Click to expand... ni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa pasi fupi na kudribble hatutawaweza.
GUI said: Mjinga huyu, kama anaogopa aache kufundisha Click to expand... ni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa pasi fupi na kudribble hatutawaweza.
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 27, 2016 #10,942 Red Giant said: ni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa basi fupi na kudribble hatutawaweza. Click to expand... Yaani acha kabisa, mpka naogopa hiyo tar 3 itakuaje
Red Giant said: ni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa basi fupi na kudribble hatutawaweza. Click to expand... Yaani acha kabisa, mpka naogopa hiyo tar 3 itakuaje
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Nov 27, 2016 #10,943 GUI said: Haya akina gomezi siwapendi sana bora hata rafinha akicheza Click to expand... Rafinha huwa anajiongeza sana. huwa anapiga mashuti na kufunga.
GUI said: Haya akina gomezi siwapendi sana bora hata rafinha akicheza Click to expand... Rafinha huwa anajiongeza sana. huwa anapiga mashuti na kufunga.
Monasha JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 563 Reaction score 423 Nov 27, 2016 #10,944 Sijawahi ona game ngumu kwetu kama hii. Nadhani mawazo yapo kwenye el clasico.
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 27, 2016 #10,945 Monasha said: Sijawahi ona game ngumu kwetu kama hii. Nadhani mawazo yapo kwenye el clasico. Click to expand... Hawajamaa wameahatuonea sana misimu 6 sasa hatuja shinda hapa tumetoa draw moja tu
Monasha said: Sijawahi ona game ngumu kwetu kama hii. Nadhani mawazo yapo kwenye el clasico. Click to expand... Hawajamaa wameahatuonea sana misimu 6 sasa hatuja shinda hapa tumetoa draw moja tu
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 27, 2016 #10,946 Red Giant said: Rafinha huwa anajiongeza sana. huwa anapiga mashuti na kufunga. Click to expand... Hata control ya mpira nikubwa sana hapotezi kijinga
Red Giant said: Rafinha huwa anajiongeza sana. huwa anapiga mashuti na kufunga. Click to expand... Hata control ya mpira nikubwa sana hapotezi kijinga
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Nov 27, 2016 #10,947 BlackPanther said: Game gumu mno Click to expand... mtangazaji kasema eti sababu huo uwanja mashabiki wapo mbali🙂😀
BlackPanther said: Game gumu mno Click to expand... mtangazaji kasema eti sababu huo uwanja mashabiki wapo mbali🙂😀
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 27, 2016 #10,948 Hii sub mimi sijailewa kabisa naona enrique hana mpango wa kushinda
Baazigar JF-Expert Member Joined Aug 30, 2015 Posts 1,129 Reaction score 1,103 Nov 27, 2016 #10,949 Kuna hawa vijana alio wanunua Enrique pale Barca..sometimes najiuliza walikuja Kufanyaje..?
Baazigar JF-Expert Member Joined Aug 30, 2015 Posts 1,129 Reaction score 1,103 Nov 27, 2016 #10,950 nisi GUI said: Hii sub mimi sijailewa kabisa naona enrique hana mpango wa kushinda Click to expand... nisiwe mnafiki...tangu huu msimu uanze sijamuelewa kabisa Enrique..haijalishi kama tutashinda au la..!
nisi GUI said: Hii sub mimi sijailewa kabisa naona enrique hana mpango wa kushinda Click to expand... nisiwe mnafiki...tangu huu msimu uanze sijamuelewa kabisa Enrique..haijalishi kama tutashinda au la..!
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 27, 2016 #10,951 Baazigar said: nisi nisiwe mnafiki...tangu huu msimu uanze sijamuelewa kabisa Enrique..haijalishi kama tutashinda au la..! Click to expand... Nadhani hatuna midfilders wa zuri kama walivyo kuwa akina ineista
Baazigar said: nisi nisiwe mnafiki...tangu huu msimu uanze sijamuelewa kabisa Enrique..haijalishi kama tutashinda au la..! Click to expand... Nadhani hatuna midfilders wa zuri kama walivyo kuwa akina ineista
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 27, 2016 #10,952 Na hapa kutoka ni ngumu sana
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 28, 2016 #10,953 Daaahh afadhali kisogo
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Nov 28, 2016 #10,954 tuwakimbize hivyohivyo. 1-1. king equalize
GUI JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 1,847 Reaction score 1,300 Nov 28, 2016 #10,955 Red Giant said: tuwakimbize hivyohivyo. 1-1. king equalize Click to expand... Mkuu ujue mpira unacheza kwa kasi mara nyingi unashinda tu
Red Giant said: tuwakimbize hivyohivyo. 1-1. king equalize Click to expand... Mkuu ujue mpira unacheza kwa kasi mara nyingi unashinda tu
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Nov 28, 2016 #10,956 Red Giant said: mtangazaji kasema eti sababu huo uwanja mashabiki wapo mbali🙂😀 Click to expand... 😀 huyu mtangazaji nae jipu..
Red Giant said: mtangazaji kasema eti sababu huo uwanja mashabiki wapo mbali🙂😀 Click to expand... 😀 huyu mtangazaji nae jipu..
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Nov 28, 2016 #10,957 Full time 1-1
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Nov 28, 2016 #10,958 Baazigar said: Kuna hawa vijana alio wanunua Enrique pale Barca..sometimes najiuliza walikuja Kufanyaje..? Click to expand... bahati nzuri amekuwa anashinda. lakini Umtiti peke yake ndiyo kaonyesha uwezo. ngoja wamzonge na maneno akili imkae sawa. shenzitype.
Baazigar said: Kuna hawa vijana alio wanunua Enrique pale Barca..sometimes najiuliza walikuja Kufanyaje..? Click to expand... bahati nzuri amekuwa anashinda. lakini Umtiti peke yake ndiyo kaonyesha uwezo. ngoja wamzonge na maneno akili imkae sawa. shenzitype.
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,575 Reaction score 12,368 Nov 28, 2016 #10,959 hao real sociedad kafara waliochimbia kwenye huo uwanja itakuwa ya panya buku mzee ,sio bure yaani toka 2007 hadi leo ni mwendo kichapo au droo 😀😀😀😀😀 Sio kwa takwimu hizi
hao real sociedad kafara waliochimbia kwenye huo uwanja itakuwa ya panya buku mzee ,sio bure yaani toka 2007 hadi leo ni mwendo kichapo au droo 😀😀😀😀😀 Sio kwa takwimu hizi
dem boyz JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 7,340 Reaction score 16,909 Nov 28, 2016 #10,960 Yani huyo messi mnavyompamba nilidhani katia hatrick kumbe mnamsifia kwa ile droo tena mlichomekwa barca then mkaona inauma ndo mungu mtu wenu ndo kasaidia kuwachomolea poleni coz el classico mnakufa km castro
Yani huyo messi mnavyompamba nilidhani katia hatrick kumbe mnamsifia kwa ile droo tena mlichomekwa barca then mkaona inauma ndo mungu mtu wenu ndo kasaidia kuwachomolea poleni coz el classico mnakufa km castro