kipindi cha pili wametutesa. Suarez hakuwa kamili na kukosa Neymar na Iniesta kumetuweka vibaya. everlenk upo? au baada ya kupata Pogba, Mikhitaryaan na ibra umetukacha?

Guadiola anataka Bravo afanye hivi huko Man city- I don't think so-hii inahitaji composure ya juu sana. Ter Stegan can only get better. je mnajua kwenye practise sessions saa ingine huyu keeper hucheza as an outfield player? mshishangae one day kwa nyodo za Barca,ukamkuta jamaa anacheza kama striker

mimi kwa macho yangu nishamuona behind closed doors akicheza kama striker-na swala la yeye kutupwa mbele siku mmoja linazungumziwa sana na wa catalan. Usisahau when it happens you heard it from me