Umeanza kushabikia soka lini mpaka useme hakujawai kuwa na kikosi cha soka kama hiki cha sasa barcelona..
barcelona ni timu nzuri sana tu lakini sentensi yako tata. Kuna miaka timu za uholanzi kama ajax zilikuwa ni tishio. Kuna vikosi kama vya Ac milan nayo vilikuwa ni tishio. jaribu kutazama na vipindi vya soka vya zamani utaona
Kuna real madrid ya kipindi cha yule kocha del bsques. alikuwa haacheki. Kina zizou.