Mbili tayari, wameshapoteana toka CR7 apige cha pili! Na leo wapigwe tu.
MIND THE GAP. PNC and BuenosAires and Co., mgonjwa anatema uji huku, hali ni mbaya!
Haji Manara kawatia gundu baada ya kuhoji kwanini Barca wanacheza katikati ya wiki halafu wanacheza UEFA lakini Yanga na Azam wanaachiwa tu sasa wote hali yao mbaya na mimi nasema mfungwe tu mmezidi kidomodomo sana