Alaf nimekusoma sana kumbe na chelsea upo..nimechunguria kidogo nikakuona aisee nikaamua kusepa hiyo timu siipendi, isitoshe zimekutana zote mbiri nazichukia madri-pampers & chelsea
Hapo ulipo presha imepanda, navyojua Mimi game zenu na Valencia zinakuwaga tight Sana. Hata refa akiwa upande wenu kesho lazima mmpigwe. Mi ntakuja kukusalimia humu Kama kawa