...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Wakikutana nusu fainali je? Kwa mtazamo ni Real Madrid tu labda ndio anaweza kumtoa ATM nusu fainali. ManC na Bayern hawawezi kucheza mpira wa kulazimisha, ni ngumu sana kuwafunga wale jamaa.
Tunashukuru kwa yote...mwaka jana tulilichukua acha wapate wengne...tujipange barca msimu ujao...tuangalie laliga sasa ambayo pia nina wasi wasi nayo aisee kwa mwendo huu ...visca barca mes que un club