Mla mla leo mla jana kala nini...
Leo mmekalia
Leo mmepakatwa
Leo mmetulizwaa
Leo mmepigwa bao 2
Leo hamna ujanja
Leo inabidi mlale mapema km kuku
Leo mtakuwa na Heshima
Leo tunakesha hapa
hakumpiga kanzu Dinho, alimpiga Kanzu Ronaldo De Lima, And kuwa great player hakukufanyi uwe great Coach..Luis Enrique is MILES better katika suala la umanager kuliko Zidane, japo hakuwa mchezaji mzuri zaidi ya zidane..
Enrique kuzidiwa tacticts na zidane ni "dissapointment"
Ukinyanyaswa sana siku ukishinda furaha yako inachanganyika
na hasira. Hongereni Madrid kwa ushindi.
Tatizo la Barca kupoteza mchezo ni kocha Luis Enrique kumtoa Rakitic na
kumuingia Arda Turan. lilikuwa kosa kubwa na kiungo kikafa kabisa.
Alimtoa Rakitic kwa hofu ya kwamba alikuwa tayari na kadi ya njano
na kwa namna alivyokuwa akipambana ikaonekana kama anaweza asimalize mchezo
kwa kupewa kadi nyingine. Arda Turan ni mchezaji mzuri lakini bado hajaweza
kuendanana staili ya Barca. Kingine Luis angemrudisha Messi kutokea pembeni
kwa sababu Madrid walikuwa wengi nyuma kwa muda mrefu wa mchezo. Kuendelea
kucheza mshambuliaji wa kati kulimnyima nafasi ya kukimbia zaidi na mpira kutokana
na wingi wa wachezaji wa madrid. Yote kwa yote ndio matokeo ya mchezo. Anayefanya kosa anaadhibiwa.
Since Messi last scored in clasico, Carlo was Real Madrid coach, Real madrid had 9 UCLs, Suarez was in Liverpool, James was in Monaco, Di Maria was in Madrid, Klopp was at BVB and I used to live in Tangobovu.