Barcelona kwa sasa ina moto kama ile ya Guandiola. Huu mwaka noa ni mwendo wa tremble. Copa dela ray hakuna wa kuwazuia. La liga madrid ndio pumzi ishawaishia. Kule ucl nawaona bayern na juventus ndo washindani waliobakia woooote ni washiriki.
Hiyo sidhani,Att boost the meanest defence in Europe-inahitajika kazi ya biblical proportions kufikia hicho kiwango anyway with the greatest strike force in football history anything can happen