huyu dogo sergi. roberto ananifurahisha vibaya mno kila position anayowekwa anafanya vitu sawa bin sawiya ijapo kua kipindi cha pili alionekana kuchoka ila big up kwake dogo mbaya saaana mara nyuma mara kati mara left mara right mara mbele nafikiri ni mchezaji wa kwanza kutokea pale barca kucheza position tofauti