hawa jamaa espanyol barcelone mechi ya juzi jumamosi walilazimisha droo wakajiona wao ndo wameshinda leo wamekiona kiliomtoa kanga manyoya tunaenda tena kwao tarehe 13/01/2016 sasa wafanye kama juzi kupoteza time waone nini kitawakuta tena hakuna wa kumzuia messi lazima akupige tuu visca barca