Barca wanaharibu soccer-wako so laid back utafikiri wako mazoezini-yaani wakipandisha gear hakuna team duniani inayoweza kwenda nao toe to toe-hizi cross ndefu madhara yake kwa opposing teams ni hatari

Hii ni barca ya mpito hahah ni barca ambayo haina mbadala wachezaji wake ni walewale hebu ifikirie Barca baada ya January baada ya ban kuisha itakuwaje??