You are damn right. Gazette la El Mundo,limemshauri Benetez ai flood midfield ya R Madrid na wachezaji kibao siku ya el classico kuzuia mipira isimfikie Neymar na Suarez anything else itakuwa majanga
Nilitazama game la club bingwa Afrika-team ya Mazembe ilichukua cup,swali langu ni je hawa Mazembe wakipambanishwa na lets say Sunderland ya England in a two legged encounter home and away nani ataibuka mshindi????
habari njema king leonel messi leo tayari ameshaanza rasmi mazoezi pamoja na rakitic nae wameanza kufanya mazoezi kwa ajili ya matayarisho na real madrid ma anti barca na anti messi wote wajitayarishe king is back