Hii Barca ina tatizo gani?? wanakosa magoli ya wazi sana-hii sio hallmark ya Barca-mbele ya goal,barca kawaida upenyeza mpira kwenye tundu la sindano-accuracy kama ya Tomhawk cruise missile-but of late naona misses nyingi sio kawaida hii
Yaani Barca anazidiwa possession na Rayo,tena nyumbani!!! Barca first and foremost ni entertainers,inaonekana huyu Enrique anai ditch hii philosopy-amesahau kwa Barca ni how you win.anaweza shinda trophies lakini come the end of the season akaonyeshwa kitambaa cheupe