pnc usiwe na wasi bravo is back maana huyu dogo ter stegen naona amekuwa mchecheto siku hizi huenda kesho bravo atakuwa yupo on group na pia mashabiki wa man u wasikupe shida zile 4 tulizopigwa na celta vigo juzi kweli zinasumbua akili ila hiyo ndio la liga manaake wa epl hua wanasema oooh barca akienda kucheza tayari watu hua wanajiandaa na sherehe ya ushindi sasa nafikiri leo wameona kua laliga hakuna timu mbovu wakumbuke kwamba madrid gem yao ya mwanzo wali droo 0-0 na timu ambayo ilitokea daraja la pili kesho tunampa mtu nyingi ila hawatabiriki hizi timu zinazotokea daraja la pili hua zina ari sana hususan wanapokutana na timu kubwa kama barca ila pale camp nou hatumwi mtoto shambani kwa babu ushindi lazima visca el barca