Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,079
Atasugua sana Martinez akiludUchezaji wa Araujo hauna tofauti na wa Juma Nyoso uhuni mtupu Barca sijui walidanganyika na urefu.
Hatujapoa tupo Catalunya tunasherekea ubingwa.Mbona wanangu wa Barça mmepoa?