Possibly tunaweza kutoboa vizuri tu na hata ukiangalia PSG hawana squad ya kutisha sana. Backline na midfields hatuzidiani sana ,tena midfields tuna quality kuliko wao.Threat hapo ni Mbappe tu basi,tukizuia vizuri we move to semi & possibly final tena path yetu sio ngumu sana, Atleti/Dortmund tunawamudu vizuri tu.