FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Team Kwa sasa haina fowards wa kueleweka +kocha nae mpumbavu!.Daah inatia hasira sana asee!.Barca sikuizi imekuwa loughing stock,hatutushi tena in Europe!.
Team kufanya signings tu za maana imekuwa shida ,achilia mbali ku register wachezaji,how can we compete!!.Kikosi kilichopo kwa sasa kina potential sana ,players tunao hasa kwenye midfield na defence.

N.B Tunahitaji
✓Top winger
✓Top defensive midfielder
✓Top coach(Xavi still unexperienced to coach this Barca team)
 
Kocha mpumbavu tenaaaaa????? Nyie jamaa last time mmevuka group stage lini??? Mpeni maua yake XAVI ama sivyo msingekuwa mnaenda kwenye mabanda kucheki game zenu.
So far good PAPA PEREZ anawauwa kijasusi nyie hamjui.
 
Tunataabika sana asee. Sasa Xavi anaondoka mwisho wa msimu huu. The question is who's gonna replace him?
 
Sasa naanza kuiona nafasi ya Barca kwenye kutia presha ya Ubingwa kwa Real Madrid. Hawa Girona tayari pumzi imeshakata.

Walikuwa na mwenendo mzuri sana hadi nikapenda jitihada zao, lakini walichofanya kwenye hizi mechi zao hizi tano, ni kama kifurushi kimekata.

Na mechi yao ya leo hadi sasa wako nyuma kwa 3-2 dhidi ya Bilbao na dakika zimeshakuwa za jioni now.

Ova
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…