FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wakuu hivi sakata la Kounde kusajiliwa kwenye kikosi limekaaje?

Na vipi updates za Auba, anabaki au njia nyeupe kuondoka?
 
Wakuu hivi sakata la Kounde kusajiliwa kwenye kikosi limekaaje?

Na vipi updates za Auba, anabaki au njia nyeupe kuondoka?
Kounde tayari amekua registered Laliga. Anaweza kuwepo mechi ijayo weekend hii.

Auba naona Chelsea bado wanarukaruka, hawajanyoosha maelezo. Sisi tunataka pesa, wao wanataka waweke pesa nusu pamoja Marcos Alonso as part of the deal.

Wakiweka pesa, Auba anaondoka.
 
Chelsea waweke pesa kubadilishana wachezaji sio good sana.


Vipi unakionaje kiwango cha Balde. Anafaa kuwa replacement ya Alba?
 
Chelsea waweke pesa kubadilishana wachezaji sio good sana.


Vipi unakionaje kiwango cha Balde. Anafaa kuwa replacement ya Alba?
Sio mbaya, ila natamani sana tuwe na defenders visiki. Badala ya kuangalia roles zao kwenye kushambulia, tuwe na na watu wapambanaji wa kuzuia mashambulizi kuja kwetu.

Defense ndio inafanya siku tukipoteana tunapigwa nyingi kwelikweli kama zile za Bayern.

Dogo bado umri unaruhusu kujifunza. Ila natamani tupate visiki kwenye defense.

Uko na Dembele na Raphina kwenye wings,bado unataka defenders wapande juu wasaidie mashambulizi? Tunakua exposed!
 
Be blessed culer
 
Sure mkuu nilimsikia xavi akihojiwa kuhusu usajili wa fullbacks akasema anahitaji natural fullbacks hasa fullback ya kulia kwa sababu dest hayupo kwenye plans zake.Of course kwa uwepo wa dembele na raphinha tunahitaji defensive minded fullback who is good in crossing.Tunatakiwa ku sort out hii issue.
 
Kwa huu usajili uliofanyika msimu huu, basi nisipomkuta Laporta peponi nitashangaa sana!

Concerns zangu zote kuhusu defense naona kama zimeyeyuka ghafla. Belerin kwenye mbavu ya kulia tumepata mtu. Kule kushoto, Marco Alonso na dogo Bade watatuvusha salama.

Pale kati Araujo na Kounde, ni habari mbaya kwa wapinzani wetu.

Nawapa msimu huu kuadapt, ila naamini Laliga tunachukua mchana kweupe. UEFA naipa msimu ujao, ila hatutatoka kinyonge. Litakufa jitu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…