El Chapito
Member
- Apr 28, 2020
- 63
- 65
#culersVisca el Barca
#culers
Kabebwe nawewe kama una huo uwezoWamebebwa hao! Hamuwezi mpira kwa sasa
Pole SanaKwa jirani moto unawaka, wanapigika huko tayari Mbappe kashawaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona Kaka yenu Mess alivyopigwa na Real Madrid?Kabebwe nawewe kama una huo uwezo,,nafasi ya 3 kutoka ya 8 November.
Kama unaweza turudishe
Kwa jirani moto unawaka, wanapigika huko tayari Mbappe kashawaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa kina ertugrul leo tuwapige ngapi jamaningoma ya watoto haikeshi
Hawa kina ertugrul leo tuwapige ngapi jamani
Wewe si jirani yetu.Jirani yetu ni Atletico Madrid kwahiyo acha kujipendekeza.Kwa jirani moto unawaka, wanapigika huko tayari Mbappe kashawaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kuwapiga goli nyingiJamani,what has happened to Messi-huyu sio Messi tunayemjua-au mfumo PSG uko tofauti- Messi ghafla kawa ordinary player anakuwa outplayed na Benzema.
Hawa wa Turkey leo itapendeza kama tutawapiga goal nyingi